Month: May 2020

100 Families surviving by eating food from a dump-site get food

I was perusing through my WhatsApp chats after a long day of being busy when I stumbled a text from this colleague of mine George Kombe – a church member who we together serve the church media department. He is social worker at Malindi Sub-County Hospital and community humanitarian. An avid follower of Christ Jesus …

100 Families surviving by eating food from a dump-site get food Read More »

Klabu zote za EPL zinafaa kufaidi mgao wa Ksh 20M, asema kocha wa Bandari

Mkufunzi wa klabu ya Bandari Ken Odhiambo ameitaka wizara ya michezo nchini kuhakikisha klabu zote zinazoshiriki Ligi Kuu nchini KPL zinanufaika na mpango wa serikali kuu wa kuwapamba wachezaji na Kshs 10, 000 kila mchezaji kila mwezi kipindi hiki cha janga la virusi vya Covid-19. Hii inakuja baada ya baadhi ya klabu kudaiwa kupigwa nje …

Klabu zote za EPL zinafaa kufaidi mgao wa Ksh 20M, asema kocha wa Bandari Read More »

Difenda wa Harambee Stars kutocheza kwa miezi 6 baada ya kuugua jeraha

Aliyekuwa difenda kigingi wa klabu ya Gor Mahia Eric Ouma amepata pigo kubwa baada ya kupata jeraha wakati akifanya maoezi na klabu yake ya sasa ya Sweden. Imebainika kwamba mchezaji huyo anayekipiga na klabu ya AIK Fotbol alipata jeraha la miguu alipokuwa akifanya mazoezi siku ya Ijumaa Mei 29 2020 jeraha ambalo litamueka nje kwa …

Difenda wa Harambee Stars kutocheza kwa miezi 6 baada ya kuugua jeraha Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.