Month: April 2020

Wanaosimamia zoezi la ugavi wa chakula cha msaada Taita Taveta watakiwa kuliendesha kwa uwazi na usawa

  Zoezi la ugavi wa chakula cha msaada katika kaunti ya Taita Taveta linapaswa kuendeshwa kwa njia ya uwazi na usawa. Haya ni kulingana na kamishna wa kaunti hiyo Roda Onyancha ambaye amehoji kwamba serikali ya kaunti hiyo inashirikiana na ile ya kitaifa katika kuhakikisha shughuli hiyo inatekelezwa kama ilivyoratibiwa sambamba na kuwafikia walengwa. Ameipongeza …

Wanaosimamia zoezi la ugavi wa chakula cha msaada Taita Taveta watakiwa kuliendesha kwa uwazi na usawa Read More »

Saini ya Sanchez yamkosesha David Beckham usingizi

Nyota wa zamani amabaye ni mmiliki wa Klabu ya Inter Miami, David Beckham, anawazia mpango wa kumsajili Alexis Sanchez kutoka Manchester United. Sanchez amecheza msimu huu kwa mkopo Inter Milan, lakini miamba hiyo ya Serie A haina mpango wa kumchukua jumla, na ameishia kucheza mechi tisa tu za Ligi na anasumbuliwa na majeruhi. Hivi karibuni, …

Saini ya Sanchez yamkosesha David Beckham usingizi Read More »

JUVENTUS YALAZIMIKA KUMUEKA RONALDO KARANTINI

Kufuatia agizo la waziri mkuu wa Italia Giuseppe Conte kwamba timu zinaweza kuanza mazoezi kufikia mwezi Mei 18, klabu ya Juvetus imewatangazia wachezaji wake wa kigeni waliokuwa wametoroka wimbi la maambukizi ya Korona Italia akiwemo CR7, kurudi mazoezini. Ronaldo ni miongoni mwa mastaa wa Juventus waliokuwa wameondoka Italia na kurejea katika mataifa yao, kama sehemu …

JUVENTUS YALAZIMIKA KUMUEKA RONALDO KARANTINI Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.