Month: April 2020

Saburi akamatwa na maafisa wa polisi

  Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Saburi ametiwa mbaroni na maafisa wa polisi mjini Mombasa baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali alimokuwa amewekwa karantini kupokea matibabu. Inaarifiwa kuwa maafisa wa polisi walikita kambi katika hospitali ya ukanda wa pwani kwa muda wa saa tatu wakisubiri kumtia mbaroni naibu gavana huyo. Aidha haijabainika iwapo …

Saburi akamatwa na maafisa wa polisi Read More »

Serikali ya kaunti ya Kwale kuanzisha mpango wa kugawanya mbegu za mahindi kwa wakulima

Gavana wa kaunti ya Kwale Salim mvurya amesema serikali ya kaunti hiyo inatarajiwa kuanzisha mpango wa kugawanya mbegu za mahindi kwa wakulima kwenye kaunti hiyo. Amesema hiyo ni njia mojawapo ya kuimarisha kilimo sambamba na kufanikisha usalama wa chakula huku akisema jumla ya wakulima elfu 15 kutoka kila wadi watafaidika na mbegu hizo ambazo zitatolewa …

Serikali ya kaunti ya Kwale kuanzisha mpango wa kugawanya mbegu za mahindi kwa wakulima Read More »

Saburi athibitishwa kupona virusi vya Corona

  Waziri wa afya nchini, Mutahi Kagwe ametangaza kuwa wagonjwa wawili waliokuwa wakiugua ugonjwa wa covid 19 wameaga dunia huku idadi kamili ya waliofariki ikifikia wagonjwa watatu. Kagwe amesema kuwa mmoja kati ya walioaga dunia ni mwenyeji wa kaunti ya Mombasa huku mwingine akiwa ni wa kutoka kaunti ya Nairobi. Aidha Kagwe amebaini kuwa naibu …

Saburi athibitishwa kupona virusi vya Corona Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.