Corona yapelekea K’ogalo kukabidhiwa ubingwa 2019/2020
Mabingwa watetezi wa ligi Kuu nchini Kenya, KPL, Gor Mahia wametawazwa mabingwa wa msimu 2019/2020. Gor Mahia imelihifadhi taji hilo baada ya shirikisho la soka nchini FKF kutangaza kukamilika kwa msimu wa ligi kutokana na virusi vya Corona. Kupitia kwa mtandao wake wa Twitter mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini FKF Nick Mwendwa ameipongeza Gor …
Corona yapelekea K’ogalo kukabidhiwa ubingwa 2019/2020 Read More »