Month: March 2020

ardhi ya ekari 20 yazozaniwa Utange kaunti ya Mombasa

  Mamia ya maskwota kutoka Utange – Bamburi Kaunti ya Mombasa huenda wakalazimika kulala nje kwa siku ya tano mtawalia baada ya makazi yao kubomolewa na vijana waliokodiwa chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi. Shamba hilo la ekari 20 linazozaniwa kati ya maskwota, serikali na mjenzi wa kibinafsi. Kwa sasa Maskuota hao wanahofia …

ardhi ya ekari 20 yazozaniwa Utange kaunti ya Mombasa Read More »

Kitiyo asema mikakati imewekwa kwenye kivuko cha Likoni kuhakikisha kuna utaratibu

Madereva Wanaochelewa huenda wakalazimika kulala Katika Kivuko Cha Likoni, Mombasa kufuatia marufuku ya kutotoka nje baada ya saa moja usiku. Hapo jana mwendo wa saa kumi na mbili unusu jioni huduma za Ferry zilikuwa zimesitishwa lakini bado kulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao hawakuwa wamefika katika kivuko hicho wakati huo. Kulishuhudiwa msongamano mkubwa wa …

Kitiyo asema mikakati imewekwa kwenye kivuko cha Likoni kuhakikisha kuna utaratibu Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.