Month: February 2020

Wakili Nelson Harvey ndiye mwenyekiti wa LSK

  Wakili Nelson Harvey ndiye mwenyekiti wa LSK baada ya  kuibuka mshindi katika uchaguzi uliofanywa hapo jana. Harvey aliibuka mshindi baada ya kuwapiku mawakili Charles Kanjama, Maria Mbeneka sambamba na Maria Chigai ambao pia walikuwa wanagombea wadhfa huo. Harvey sasa ndiye mwenyekiti mpya baada ya aliyekuwa mwenyekiti Alen Gichuhi.

  Katibu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini (KNUT) tawi la Malindi na Magarini kaunti ya Kilifi Fredrick Nguma, amezungumzia swala la kupunguzwa kwa alama za kujiunga na shule ya mafunzo ya walimu katika vyuo vikuu nchini. Nguma amesema kuwa mfumo huo umekua ukitumika hapo awali na kuwafaidi walimu wengi katika taifa hili …

Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.