Month: January 2020

Bandari mpya kilifi ya kati imeathiri shughuli za uvuvi eneo hilo

Ujenzi wa Bandari mpya katika Bahari hindi eneo la Kilifi ya kati umeathiri pakubwa shughuli za uvuvi kwa asilimia 70. Ni kauli yake mwenyekiti wa BMU Kilifi ya kati,Suleiman Shabaan Abdallah ambaye ameitaja Bandari hiyo kama chanzo cha kupotea kwa baadhi ya samaki jambo linaloathiri wavuvi kutoka maeneo hayo hadi Mnarani. Abdallah amesema kuwa ujenzi …

Bandari mpya kilifi ya kati imeathiri shughuli za uvuvi eneo hilo Read More »

Magavana nchini wakosa kuhudhuria kuapishwa kwa Nyoro

  Licha ya Daktari James Nyoro kuapishwa kuwa gavana mpya katika kaunti ya Kiambu  leo,hakuna gavana yeyote nchini aliyehudhuria sherehe za kumuapisha kwa gavana huyo. Naibu gavana wa Nyeri ,Caroline Kagoru ndiye aliyehudhuria hafla hiyo pamoja na viongozi mbalimbali wa kaunti ya Kiambu. Aidha haijabainika kiini hasa cha kuwafanya magavana wengine kukosa kuhudhuria hafla hiyo …

Magavana nchini wakosa kuhudhuria kuapishwa kwa Nyoro Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.