Month: December 2019

Wenyeji wa wadi ya Sabaki waonywa

Naibu chifu wa Sabaki kaunti ya Kilifi Racheal Malingi amewahimiza wenyeji wa wadi hiyo  kuchukua tahadhari wanaposherehekea siku kuu ya mwaka mpya. Onyo hili linajiri kufuatia uwepo wa viboko maeneo hayo na kusema ni sharti wananchi wawe makini ili wasije wakashambuliwa na wanyama hao na kuwataka wazazi kuchukua jukumu la kuwalinda watoto wao ili kuwaepusha …

Wenyeji wa wadi ya Sabaki waonywa Read More »

Usalama kuimarishwa kanda ya pwani

Mshirikishi mkuu wa Utawala kanda ya Pwani John Elungata amesema Serikali imeweka usalama wa kutosha kuhakikishia wale ambao wanazuru Pwani, kuukaribisha mwaka mpya wako salama. Kulingana na Elungata katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ni kuwa vikosi mbali mbali vya usalama vimeshika doria kila sehemu hapa pwani ili kudhibiti visa vyovyote vya utovu wa …

Usalama kuimarishwa kanda ya pwani Read More »

Wazazi Mombasa watakiwa kujukumikia watoto wao

  Mwakilishi wa wadi ya mikindani kaunti ya Mombasa Juma Renson Thoya amesema huenda kuandaliwa kwa michezo msimu huu wa likizo ikawaleta vijana pamoja hali ambayo itawasaidia kujiepusha na utumizi wa dawa za kulevya. Akiongea kwenye fainali ya soka katika uwanja wa Kwa Shee amehoji kwamba hadi kufikia sasa michezo hiyo imeweza kuwaunganisha vijana wote …

Wazazi Mombasa watakiwa kujukumikia watoto wao Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.