Month: November 2019

Watu watatu wapoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani

  Watu watatu wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa vibaya baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Gede kwenye barabara kuu ya Malindi kuelekea Mombasa kaunti ya Kilifi. Akithibitisha ajali hiyo, kamanda wa trafiki mjini Malindi kaunti ya Kilifi George Naibei amesema ajali hiyo ilihusisha gari dogo la …

Watu watatu wapoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani Read More »

Mwili wapatikana kichakani ukiwa umeoza eneo la Mwangani, Kilifi

Asasi za usalama zimeanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha jamaa mmoja ambaye mwili wake umepatikana leo kwenye kichaka ukiwa umeoza eneo la Mwangani kaunti ya Kilifi. Kulingana na mzee wa Kijiji wa eneo Hilo Safari Kadenge ni kwamba marehemu kwa jina Kadzomba Kahindi alitoweka Siku sita zilizopita kabla ya kupatikana leo akiwa ameaga dunia. Mwanaume huyo …

Mwili wapatikana kichakani ukiwa umeoza eneo la Mwangani, Kilifi Read More »

Bandari ya Lapsset, Lamu yatoa nafasi 100 za ajira kwa vijana

Vijana katika kaunti ya Lamu wamehimizwa kutuma maombi ya kazi kwenye mradi wa bandari ya LAPSSET . Haya ni kulingana na kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya hiyo ambaye pia ni mwakilishi wa wadi ya Kiunga Abdallah Aboud ambaye amewaambia kufanya hima kabla hazijachukuliwa na watu kutoka maeneo mengine nchini. Kwa muda viongozi …

Bandari ya Lapsset, Lamu yatoa nafasi 100 za ajira kwa vijana Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.