Month: October 2019

Mzozo kati ya wizara ya michezo Kenya na FKF wamchukua mkondo mpya

Mzozo kati ya Wizara ya Michezo na Shirikisho la Soka la Kenya FKF umechukua sura mpya baada ya katibu mkuu wa wizara ya michezo Kirimi Kaberia na FKF kutangaza ripoti yenye utata kuhusu hatma ya timu ya taifa ya soka ya wanawake. Barua iliyosainiwa na Mkurugenzi wa FKF Barry Otieno inasema kwamba Waziri wa michezo …

Mzozo kati ya wizara ya michezo Kenya na FKF wamchukua mkondo mpya Read More »

Carabao | Liverpool na Man United wajiunga na Man City, wafuzu robo fainali

Mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, amefunga mabao mawili muhimu yalioivusha timu yake kwenye hatua ya Robo Fainali ya Carabao Cup. United ilikuwa inamenyana na Chelsea ambapo mchezo ulikuwa na ushindani mkali na mwisho wa dakika 90 Manchester ilishinda mabao 2-1. Rashford alianza kucheka na nyavu dakika ya 23 kwa penalti kabla ya Mitch Batshuayi …

Carabao | Liverpool na Man United wajiunga na Man City, wafuzu robo fainali Read More »

Wanaume waliooa waruhusiwa mapadri, Papa atoa idhini

Maaskofu wa kanisa katoliki wamepiga kura kuruhusu wanaume waliooa kuwa mapadri katika eneo moja la pembezoni ili kuweza kupata mwanya wa kuhubiri katika eneo la Amazon. Hatua hiyo imekuja mara baada ya Papa Francis kutoa ombi kuwa ni vyema kutoa ruhusa kwa wanaume walioa kuwa mapadri kwenye sehemu maalum katika eneo hilola Amazon. Eneo ambalo …

Wanaume waliooa waruhusiwa mapadri, Papa atoa idhini Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.