Kombe la Kanjwele, Alaskan Wadoda
Kipute cha kuwania taji la Kanjwele Peace Tournament kinazidi kunoga huku kina dada nao wakijitosa ulingoni kusaka ubingwa wa taji hilo ambapo kina dada wa Alaskan walijipata wakihangaika bila matumaini pale walipotitigwa mabao 2-0 na Jimba Minds katika uwanja wa Mwanjama. Mechi hiyo iliwavutia wakaazi wengi wa eneo hilo waliojitokeza kushabikia kina dada hao wakionyesha …