KPL | Sofapaka walalia 2-1 mikononi mwa Posta Rangers, Kariobangi Sharks wakubali sare ya 2-2 dhidi ya Western Stima
Michuano ya ligi kuu nchini KPL imeanza rasmi leo Ijumaa kwa mechi mbili kuchezwa huku ligi hiyo ikiendelea kukumbwa na changamoto za udhamini. Kariobangi Sharks wakiwa nyumbani wameridhia sare ya magoli 2-2 dhidi Western Stima huku Poster Rangers wakivuna ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya wenyeji wao Sofapaka. Sharks walilimwa goli la mapema kunako dakika …