Month: July 2019

Zoezi la usajili wa vyeti vya kuzalia lafika tamati

Zoezi la usajili wa vyeti vya kuzaliwa linapotamatika leo baada ya kuzinduliwa rasmi mapema mwezi huu wa Julai kumeshuhudiwa foleni ndefu katika idara ya uhamiaji mjini Malindi kaunti ya Kilifi. Katika usajili huo wananchi wameonekana kutoridhishwa na huduma hiyo ambayo kulingana na wao imekuwa ikitekelezwa kwa mwendo wa polepole huku wakiomba serikali kuongeza muda zaidi …

Zoezi la usajili wa vyeti vya kuzalia lafika tamati Read More »

Kenya | Serikali yaombwa kuajiri watafsiri wa lugha ya ishara katika hospitali za umma

Mkurugenzi mkuu wa shirika ambalo linaangazia maswala ya haki za watoto na wanawake ambao wanaishi na ulemavu la Disability Trust Lizzie Kiama ameitaka wizara ya afya kuajiri watafsiri wa lugha ya ishara kwenye hospitali za hapa nchini. Kwenye kikao na waandishi wa habari amesema ikiwa serikali itakumbatia hilo basi hatua hiyo itakabiliana na changamoto ambazo …

Kenya | Serikali yaombwa kuajiri watafsiri wa lugha ya ishara katika hospitali za umma Read More »

Kilifi | Waliohusika kunadhifisha Jetty mjini Malindi waitaka serikali kuwafidia

Mikakati ya serikali kutaka kutenga na kufanya baadhi ya maeneo kwenye ufuo wa Jetty mjini Malindi kuwa bustani ya umma sasa waliohusika katika upanzi wa miti ili kulifanya eneo hilo kuvutia na pia kuzuia mmomonyoko wa udongo wanalamikia kutofidiwa gharama waliyotumia katika upanzi huo wakidai walitumia fedha nyingi kwenye shughuli hiyo. Mmoja wa wakazi wa …

Kilifi | Waliohusika kunadhifisha Jetty mjini Malindi waitaka serikali kuwafidia Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.