Month: June 2019

Neymar akanusha taarifa ya kashfa ya ubakaji nchini Ufaransa

Nyota wa Brazil na PSG Neymar ametumia akaunti yake ya Instagram kukanusha tuhuma za kumbaka binti mmoja Jijini Paris mwezi uliopita, Neymar anatuhumiwa kumbaka msichana ambae walifahamiana kupitia Instagram na kukutana kwenye Hoteli ya kifahari. Mwanamke huyo aliyetokea Brazili amedai Neymar alimbaka katika hoteli moja iliyopo Paris, Ufaransa‬. Kupitia ukurasa wake huo wa Instagram, Neymar …

Neymar akanusha taarifa ya kashfa ya ubakaji nchini Ufaransa Read More »

AFCON 2019- Senegal yataja kikosi Sadio Mane ndani

Senegal iliyopangwa kundi C katika michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019) itakayoanza kutimua vumbi Juni 21 nchini Misri, itakutana na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenye mechi yake kwanza. Wakali wa soka la kimataifa Saido Mane anayekipiga klabu ya Liverpool [iliyobeba kombe la ligi ya klabu bingwa bara ulaya], Idrisa Gueye wa …

AFCON 2019- Senegal yataja kikosi Sadio Mane ndani Read More »

UCL: Origi aisaidia Liverpool kutwaa ubingwa

“You will never walk alone” ndio kauli mbiu ya Liverpool. Soka ni moja ya mchezo wenye matukio mengi ya kuvutia na kusisimua ambayo huacha pande mbili za historia, ya furaha ama huzuni kwa mashabiki. Hatimaye kimeeleweka, majogoo wa Anfield Liverpool, wamechukua ubingwa wa Ulaya baada ya kuifumua Tottenham Hotspurs bao 2-0 katika mchezo wa fainali …

UCL: Origi aisaidia Liverpool kutwaa ubingwa Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.