Month: June 2019

Uhamisho | Neymar apanga kurudi Barcelona

Mshambuliaji matata wa Paris St-Germain Neymar anatamani kurudi klabu yake ya zamani ya Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo . Hata hivyo Jordi Cardoner amesistiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao na mchezaji huyo ambaye alihudumu miaka minne katika klabu hiyo ya Nou Camp. Mchezaji huyo wa Brazil ametaabika katika klabu ya …

Uhamisho | Neymar apanga kurudi Barcelona Read More »

Kimataifa | Milipuko miwili Tunis yazidi kuzua hofu

Waziri mkuu wa Tunisia, Youssef Chahed amekashifu mashambulizi mawili ya bomu yaliyotekelezwa mjini Tunis, akiyataja mashambulizi hayo kama ya kutengeneza hofu kwa wananchi. Matamshi yake yamekuja wakati huu kundi la Islamic State likijinasibu kuhusika na mashambulizi mawili tofauti yaliyosababisha kifo cha askari na kuwajeruhi raia kadhaa. Habib ni mfanyakazi wa Benki ambae alikuwa karibu na …

Kimataifa | Milipuko miwili Tunis yazidi kuzua hofu Read More »

AFCON | Wanyonge wanyongana; Kenya yaibamiza 3-2 Tanzania

Sasa ni rasmi kwamba ubishi umekwisha, Kenya ndio mbabe wa Tanzania licha ya wote kupoteza mechi za ufunguzi kwa kufungwa magoli sawia; Kenya ikifungwa na Algeria magoli mawili kwa nunge huku Tanzania ikilimwa na Senegal magoli hayo hayo. Baada ya presha kupanda na kushuka kwa muda mrefu nje ya uwanja, dakika 90 za ndani ya …

AFCON | Wanyonge wanyongana; Kenya yaibamiza 3-2 Tanzania Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.