Month: June 2019

Mbwembwe za AFCON | Mbinu 3 zilizoilaza Tanzania mikononi mwa Kenya

Watanzania hawaamini kilichotokea katika mechi yao dhidi ya jirani zao Kenya. Ulikuwa mchezo wa kufurahisha na kusisimua; Taifa Stars ya Tanzania kuongoza katika kipindi cha kwanza na baada ya dakika tisini, wakaachwa hoi bila pointi tatu walizopigania. Ilikuaje Kenya ikaipiku Tanzania? 1. Mikakati Wakufunzi wa Kenya kwa muda wamekuwa wakilaumiwa kwa kutokuwa na mikakati ya kutosha …

Mbwembwe za AFCON | Mbinu 3 zilizoilaza Tanzania mikononi mwa Kenya Read More »

Kilifi | Mwanafunzi wa kidato cha kwanza ajitoa uhai

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya upili ya Franz Joseph Kaunti ya Kwale amepatikana amejinyonga nyumbani kwao Mtwapa Kaunti ya Kilifi. Hilda Kimanthi mwenye umri wa miaka 15 amejitoa uhai wake baada ya kupewa likizo ya lazima kwa kupigana na mwanafunzi mwingine. Kulingana na shangaziye ni kwamba baada ya kufukuzwa shule Hilda alimweleza …

Kilifi | Mwanafunzi wa kidato cha kwanza ajitoa uhai Read More »

Kimataifa | Raia 200 wakamatwa Ethiopia kwa tuhumuma za mapinduzi

Vyombo vya usalama nchini Ethiopia vimewakamata watu zaidi ya 200 wakiwemo raia wa kawaida, wanausalama na wanasiasa wanaotuhumiwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi kwenye Jimbo la Amhara, ambako rais wa eneo hilo na mnadhimu wa jeshi waliuawa. Mashambulizi ya mwishoni mwa juma lililopita, yamezidisha shinikizo zaidi kwa utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed ambaye ameendelea …

Kimataifa | Raia 200 wakamatwa Ethiopia kwa tuhumuma za mapinduzi Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.