Ligi ya ngao ya FKF, Bandari kumenya na Kariobangi Sharks kwenye fainali Jumamosi
Klabu ya pekee ya Pwani iliyoshiriki michuano ya KPL 2018/2019 na kumaliza katika nafasi ya pili Bandari FC inatarajiwa kuvaana na Kariobangi Sharks kwenye fainali ya ngao ya FKF itakayogarazwa kesho Jumamosi tarehe moja Juni uwanjani Kasarani. Mshindi wa ngarambe hiyo ya kesho atajizolea kitita cha shilingi milioni mbili (Ksh 2M) na kupata nafasi ya …
Ligi ya ngao ya FKF, Bandari kumenya na Kariobangi Sharks kwenye fainali Jumamosi Read More »