Month: April 2019

Mudavadi apuuza wito wa kupunguzwa idadi ya kaunti nchini

Kinara wa chama cha ANC Musalia Mudavadi ameapa kutounga mkono kupunguzwa kwa idadi ya kaunti na badala yake kuwataka viongozi wenzake kuhakikisha kwamba ugatuzi unalindwa kikamilifu ili kuafikia malengo ya katiba ya mwaka 2010. Mudavadi anasema mchakato wa kuandaliwa kwa kura ya maoni inayopendekezwa ni sharti uhusishe wakenya wote na wala sio watu wachache wanaojitafutia …

Mudavadi apuuza wito wa kupunguzwa idadi ya kaunti nchini Read More »

Mwakinyo ni habari nyingine, aongoza kwa ubora Afrika

Nyota ya bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo inazidi kung’ara, Mwakinyo ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa bondia namba moja Afrika akiwa na alama 152.1 akiwapiku mabondia wengine 123 kwenye uzani wake katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la ngumi duniani. Bondia wa Afrika Kusini Emmany Kalombo anashika nafasi ya pili akiwa na alama 126.8 huku Charles Manyuci …

Mwakinyo ni habari nyingine, aongoza kwa ubora Afrika Read More »

UCL: Tottenham kuivaa Ajax leo, kesho Barca dhidi ya Liverpool

Michuano ya kwanza ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya inayojulikana zaidi kama UEFA Champions League inatarajiwa kupigwa leo usiku kwa mchezo kati ya Tottenham Hotspur ya Uingereza dhidi ya Ajax ya Uholanzi. Kesho Jumatano Mei 1, vigogo wawili wa soka, Barcelona ya Uhispania ikiwa bado ina ari baada ya kunyakua ubingwa wa LaLiga …

UCL: Tottenham kuivaa Ajax leo, kesho Barca dhidi ya Liverpool Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.