Mashabiki wa Spurs wamtaka Wanyama kuiangamiza Liverpool kwa roketi ya shuti kama aliyosukuma mwaka 2018
JE, unakumbuka roketi ya shuti ambayo kiungo wa Tottenham Hotspur Victor Wanyama alisukumia Liverpool msimu uliopita uwanjani Anfield mnamo Februari 4, 2018? Mashabiki wa Spurs wanataka bao sawa na hilo kutoka kwa nahodha huyu wa timu ya Kenya klabu hizi zitakapokutana uwanjani humu hapo Machi 31, 2019. “Can we have another Victor rocket on Sunday …