Month: June 2017

Ujerumani uso kwa uso na Chile fainali ya kombe la mabara

Fainali ya michuano ya Kombe la mabara inayoendelea nchini Urusi itazikutanisha mabingwa watetezi wa kombe la dunia Ujerumani na Chile. Ujerumani inashiriki michuano fainali hizi baada ya kuwachabanga bila huruma mabao 4-1 mabao ya kifungwa na Leon Goretzka kunako dakika ya 6 na 8 kabla ya kuchezea tena Mexico dakika ya 59 na 90 kupitia …

Ujerumani uso kwa uso na Chile fainali ya kombe la mabara Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.